Endelea kusoma




Misingi 7 ya Kuanzisha na Kukuza Biashara Yenye Mafanikio

Muandishi: Emanuel Simon

“Kabla hujafungua biashara, fungua akili.”

Muhtasari: Kitabu hiki kinatoa mafunzo ya kina kuhusu hatua za kuanzisha biashara, namna ya kukabiliana na changamoto, mbinu za masoko ya kisasa, nidhamu ya fedha na mikakati ya kukuza biashara ndogo. Kimeandikwa kwa lugha rahisi lakini yenye nguvu.

📥 Pakua PDF